Monday, November 09, 2026

Na MWANDISHI WETU
WATU 21 wamefariki dunia na wengine 5 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea leo. Novemba 9/2026 Majira ya 7:00 asubuhi.
Ajali hiyo imetokea njia panda ya Kijiji Cha Kiponzero barabara kuu ya Iringa-Mbeya ikihusisha basi la Maokoto lilogongana uso kwa uso na Roli lililokuwa limebeba mzigo.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amethibisha kutokea Kwa ajali hii.


0 Comments