Wednesday, May 13, 2026
-Ni kutokana na mapungufu ya mpango wa usimamizi wa mazingira
-Aelekeza kupewa hati za makosa wamiliki wa Leseni za Utafiti mkoani Katavi
-Aelekeza ukaguzi wa mikataba ya msaada wa kiufundi(TSA) nchi nzima
-Wachimbaji wadogo wampongeza Rais Samia kwa kupatiwa Leseni tatu kubwa zilizofutwa
-Ziara hii ya utatuzi wa migogoro ni maelekezo ya Waziri Mkuu Mwigulu aliyotoa mkoani Katavi
-waishukuru serikali kwa utatuzi wa changamoto zilizokuwa zinawakabili
Kufuatia ukaguzi uliofanywa kwa wamiliki wa leseni wanaofanya uchimbaji kwenye mto na kuathiri mazingira, Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (Mb) atoa maelekezo ya kusimamishwa kwa shughuli za uchimbaji madini kwenye mto huo Mkoani Katavi.





0 Comments