Muhasham Prosper Bartazal Lyimo 19 March 2026.
ENG.KUNDO MBUNGE WA JIMBO LA BARIADI.
Aidha, Mhe. Kundo amemshukru Papa Leo XIV kwa kukubali Kuanzisha kwa jimbo jipya katoliki Bariadi na kumsimika Askofu wa Kwanza wa jimbo katoliki la Bariadi, Mhashamu Prosper Baltazar Lyimo kwa lengo la kusogeza huduma za kiroho kwa wananchi wa Mkoa wa Simiyu na kuleta mwanga wa Imani, tumaini na upendo kwa wote.
FLORA MASALU .SHINYANGA

0 Comments